PICHA ZA WANAFUNZI 32,WALIMU 2 NA DEREVA WA SHULE YA LUCKY VICENT WALIOFARIKI KWENYE AJALI YA GARI KARATU - ARUSHA

TANGAZA BIASHARA,HABARI,KAZI,MATUKIO YAKO KUPITIA MALUNDE 1 BLOG,TUPIGIE SIMU 0757 478 553 AU 0625 918 527

Juzi wanafunzi 32 wa darasa la saba, walimu 2 na dereva wa gari la shule ya msingi iitwayo Lucky Vicent ya Arusha walifariki dunia majira ya saa 3 asubuhi baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali katika eneo Rhotia Marera, Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha.Angalia picha hapa chini
Theme images by rion819. Powered by Blogger.