MBUNGE AZZA - WASUKUMA SIYO WATU WA KUAMBIWA WAENDE SHAMBANI

Mbunge wa viti Maalumu kutoka Shinyanga, Azza Hilal Hamad amesema kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa mkoa wa Shinyanga unaweza kukabiliwa na upungufu wa chakula hivyo akaitaka serikali kuja na mpango mkakati wa umwagiliaji katika mkoa huo.

Mbunge huyo ameyasema hayo bungeni Dodoma ambapo alisisitiza kuwa wasukuma siyo watu wa kuambiwa kwenda shambani.

Angalia Video hapa Chini akifunguka 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527