Video Mpya Kabisa!! MAMA USHAURI 'NG'OMBE BHULAYA'- MAMA JENI

Msanii wa nyimbo za asili Mama Ushauri "Ng'ombe Bhulaya" kutoka Tinde mkoani Shinyanga ametualika kutazama video yake mpya inaitwa "Mama Jeni".
Wimbo Mama Jeni ni miongoni mwa nyimbo zilizopo katika Albam mpya ya Mama Ushauri 2017 inaitwa 'Barcelona' ambayo ina nyimbo 7.

Tazama hapa chini,ni ngoma kali sana

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527