NINAYO HAPA NGOMA MPYA YA MAMA USHAURI - SAMAHANI


Ninayo video mpya ya msanii maarufu wa nyimbo za asili Mama Ushauri kutoka Tinde Shinyanga unaitwa "Samahani",ni wimbo matata sana.Wimbo huu ni miongoni mwa nyimbo zilizopo katika Albam mpya ya Mama Ushauri 2017 inaitwa 'Barcelona' ambayo ina nyimbo 7
Video hii imetengenezwa bicon studio za Kahama.Tazama hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527