TAZAMA NGOMA MPYA YA MAMA USHAURI - MARIA..FAIDI UHONDO WOTE HAPA

Ninayo Ngoma nyingine kali ya Msanii wa nyimbo za asili,Mama Ushauri "Ng'ombe Bhulaya" kutoka Tinde Shinyanga,inaitwa Maria. Video imetengenezwa Bicon Studio zilizopo mjini Kahama.
Wimbo Maria ni miongoni mwa nyimbo zilizopo katika Albam mpya ya Mama Ushauri 2017 inaitwa 'Barcelona' ambayo ina nyimbo 7.

Bofya hapa chini ufaidi uhondo mtu wangu

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527