Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

ANGEL DI MARIA NI MCHEZAJI MPYA WA MAN UNITED,APEWA JEZI NAMBA 7,AWEKA REKODI MPYA YA UHAMISHO GHALI

IMG_6749.JPG
Sakata la usajili wa mchezaji wa kiargentina Angel Di Maria kwenda klabu ya Manchester United kutoka Real Madrid limemalizika rasmi leo hii.
Manchester United wamethibitisha kukamilisha usajili wa Di Maria kutoka Real kwa ada ya uhamisho £59.7m ambayo imeweka rekodi mpya ya uhamisho nchini Uingereza – ikivunja rekodi ya £50m ambayo Chelsea waliilipa Liverpool kwa ajili ya usajili wa Fernando Torres.
Di Maria amekabidhiwa jezi namba 7 na amesaini mkataba wa miaka mitano wa kuitumikia Manchester United.
IMG_6752.JPG
IMG_6750.JPG
IMG_6751.JPG
IMG_6748.PNG

TAFADHALI BOFYA HAPA U LIKE PAGE YETU TUKUTUMIE "HABARI" MOJA KWA MOJA KILA ZINAPOTOKEA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com