
Msanii wa muziki kutoka Kanda ya Ziwa, Kisima Majabala, ameachia rasmi wimbo wake mpya uitwao “BHASEMBI - Wachimba Madini” unaopatikana kwenye YouTube kupitia video ya kiwango cha 4K.
Kwa mujibu wa mashabiki, “Bhasembi” ni zaidi ya muziki ni ujumbe wa kijamii unaoelezea hadithi ya jasho na matumaini ya Watanzania wengi katika utafutaji.
👉 Tazama wimbo huu kwenye YouTube: Kisima _ Bhasembi – Wachimba Madini (Official Video 4K)
Social Plugin