Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

HERI YA SIKU YA WALIMU BUKOMBE

 


Leo kutoka hapa Bukombe yanafanyika maadhimisho ya siku ya mwalimu duniani kwa wilaya ya Bukombe mkoani Geita ikiwa ni msimu wa sita toka kuanzishwa kwa maadhimisho haya hapa Bukombe.


Mgombea ubunge wa Jimbo la Bukombe na Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko atakuwepo na mgeni rasmi ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Kassim.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com