Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Live : RAIS MAGUFULI AKIZINDUA JENGO LA TATU LA ABIRIA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE


Leo Agosti 01,2019 Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli anazindua rasmi Jengo la tatu la Abiria (Terminal III )katika Kiwanja cha ndege cha kimataifa  cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere



Tazama hapo chini


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com