Picha : RAIS MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA CHUMA NA PLASTIKI KAHAMA,AZUNGUMZA NA WANANCHI WA TINDE NA KAGONGWA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amekalia moja ya kiti kilichotengenezwa na kiwanda cha Kahama Oil mills wakati akikagua bidhaa zinazo tengenezwa kiwandani hapo Kahama mkoani Shinyanga. Pembeni yake ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Zainab Telack
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia moja ya mabomba ya plastiki yanayo tengenezwa katika kiwanda hicho cha Kahama Oil mills kilichopo Kahama mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kiwanda cha Kahama Oil mills kilichopo Kahama mkoani Shinyanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi wa kiwanda cha Kahama Oil mills kilichopo Kahama mkoani Shinyanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi wa Kiwanda cha Kahama Oil mills mara baada ya kukifungua.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kagongwa Kahama mkoani Shinyanga wakati akielekea mkoani Singida 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kagongwa Kahama mkoani Shinyanga wakati akielekea mkoani Singida 
Wananchi wa Kagongwa Kahama mkoani Shinyanga wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwasili katika eneo hilo wakati akielekea mkoani Singida.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Tinde mkoani Shinyanga wakati akielekea mkoani Singida. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Igunga mkoani Tabora wakati akielekea mkoani Singida. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Igunga mkoani Tabora wakati akielekea mkoani Singida. PICHA NA IKULU

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527