Picha: RAIS MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA ISAKA-USHIROMBO,AZUNGUMZA NA WANANCHI KAHAMA -SHINYANGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Barabara ya Isaka-Ushirombo km 132 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.

Sehemu ya Barabara ya Isaka-Ushirombo km 132 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wananchi wa Kahama mara baada ya kufungua barabara ya Isaka-Ushirombo km 132 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mamia ya wananchi wa Kahama mara baada ya kufungua barabara ya Isaka-Ushirombo km 132 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.

Sehemu ya Wananchi waliofika kwenye sherehe za ufunguzi wa barabara ya Isaka-Ushirombo km 132 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telak wakwanza kushoto, wabunge wa mkoa wa Shinyanga pamoja na Wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi CCM waliohamia kutoka vyama vya Upinzani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Masumbwe Mbogwe mkoani Geita wakati akielekea Kahama mkoani Shinyanga. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Masumbwe Mbogwe mkoani Geita wakati akielekea Kahama mkoani Shinyanga. PICHA NA IKULU

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527