MORGAN TSVANGIRAI AFARIKI DUNIA

TANGAZA BIASHARA,HABARI,KAZI,MATUKIO YAKO KUPITIA MALUNDE 1 BLOG,TUPIGIE SIMU 0757 478 553 AU 0625 918 527


Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe Morgan Tsvangirai amefariki dunia.

Morgan Tsvangirai alikuwa akitibiwa Afrika Kusini 

Waziri huyo mkuu wa zamani wa Zimbabwe, 65, alikuwa akisumbuliwa na saratani na alikuwa akipata matibabu katika hospitali moja nchini Afrika Kusini. 

Bw Tsvangirai na chama chake cha Movement for Democratic Change alikuwa akipambana kisiasa na utawala wa rais Robert Mugabe.
Theme images by rion819. Powered by Blogger.