Klabu ya Yanga leo jumamosi Novemba 25, 2017 imemsajili Festo Kayembe Kanku kwa mkataba wa miaka miwili.
Kanku
ambae ni raia wa DR Congo anaemudu nafasi ya ulinzi wa kati amefanikiwa
kusaini kandarasi hiyo baada ya majukumu kadhaa ya majaribio ndani ya
klabu hiyo chini ya kocha George Lwandamina.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin