AZAM FC YANASA KIFAA KUTOKA GHANA, YAMSAJILI BENARD ARTHUR

TANGAZA BIASHARA,HABARI,KAZI,MATUKIO YAKO KUPITIA MALUNDE 1 BLOG,TUPIGIE SIMU 0757 478 553 AU 0625 918 527


Klabu ya Azam FC, imeongeza nguvu katika safu yake ya ushambulizi baada ya kumsajili mshambuliaji Bernard Arthur kutoka nchini Ghana.

Arthur alikuwa mshambuliaji tegemeo wa Liberty Professional ya Ghana, timu iliyomkuza Michael Essien na kipa wa zamani wa Yanga, Yaw Berko.

Theme images by rion819. Powered by Blogger.