Video: DJ JOSE Ft MILKA - SAMAGA....GOSPEL KALI YA KISUKUMA


Je umewahi kutazama kwaya iliyoimbwa kwa lugha ya Kisukuma??...Leo nakualika kutazama Video hii inaitwa Samaga kutoka kwa DJ Jose akimshirikisha Milka.Ni Gospel Kali ya Kisukuma iliyotengenezwa katika studio za Bfaster zilizopo mjini Bariadi mkoani Simiyu,hakika utaipenda mtu wangu.Bofya hapa chini kutazama


SIKILIZA WIMBO HUU PIA KUTOKA KWA DJ JOSE Ft MILKA - OLEWADILA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527