WASANII WATAKAOKIWASHA TIGO FIESTA JIJINI MWANZA WATEMBELEA DUKA LA TIGO


Wasanii walio katika list ya watumbuizaji wa Fiesta jijini Mwanza wakishuka kwenye gari kuingia katika duka la Tigo Jijini Mwanza leo mchana. 
Mteja wa mtandao wa Tigo Edith Shekifu, akipokea zawadi kutoka kwa msanii wa hip hop Fareed Kubanda(Fid Q) ndani ya duka la Tigo eneo la Samaki barabara ya Stesheni jijini Mwanza. 
Mteja wa mtandao wa Tigo Kilinga James, akipokea zawadi kutoka kwa msanii wa hip hop Fareed Kubanda(Fid Q) ndani ya duka la Tigo eneo la Samaki barabara ya Stesheni jijini Mwanza. 
Wasanii wa bongo fleva Fareed Kubanda(Fid Q) na Rayvanny wakimpa zawadi mteja Lidya Mtamizi, kwenye duka la Tigo eneo la Samaki barabara ya Stesheni jijini Mwanza. 
Msanii bongofleva Rayvanny akipiga selfie na mteja wa Tigo, kwenye duka la Tigo eneo la Samaki barabara ya Stesheni jijini Mwanza. 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527