Thursday, May 18, 2017

STAA WA FILAMU YA KUCH KUCHI HOTA HAI AMEFARIKI DUNIA LEO MAY 18,2017

Kuch kuch hota hai ni moja ya movie kali kutoka Bollywood ambayo imekuwa ikipendwa sana na wafuatiliaji wa filamu za kihindi hasa kutokana na uwepo wa Waigizaji mastaa kama Shah Rukh Khan, Salman Khan, Kajol na wengine.

Habari mbaya iliyonifikia leo May 18, 2017 ni taarifa za kifo cha mmoja wa Waigizaji wa filamu hiyo Reema Lagoo ambaye amefariki mapema leo May 18, 2017 akiwa na umri wa miaka 59 ambapo katika filamu ya Kuch kuchi hota hai Reema Lagoo aliigiza kama mama wa Kajol akitumia jina la Mrs. Sharma.
Miongoni mwa filamu zilizompatia umaarufu ni pamoja na Kal Ho Naa Ho, Maine Pyar Kiya, Hum Aapke Hain Koun…!, Hum Saath Saath Hain, Jis Desh Mein Gangaa Rehta Hai na Vaastav.
Reema Lagoo (kulia) akiwa na Kajol kwenye filamu ya Kuch kuch hota hai
Reema Lagoo (kushoto) akiwa na Shah Rukh Khan kwenye filamu ya Kal Ho Naa Ho
R.I.P Reema Lagoo.

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde1 blog Inapatikana Play Store…Download HAPA ,Tuwe Tunakutumia Habari Kwenye Simu Yako
 Bofya Hapa
Share:

Tafuta Habari Hapa

Subscribe You Tube Channel Yetu

 Bofya Hapa

Pakua Videozetu App

Kutana Able wa Michoro

Manju Matemba - Beni

Manju Polosho Myogela

Habari Kuu

TAZAMA HAPA VIDEO 100 ZA NGOMA ZA ASILI ...ANGALIA KAMA UTAONA KABILA LAKO

Habari za leo mpenzi msomaji wa Malunde1 blog hususani wewe mfuatiliaji wa nyimbo za asili..Leo nimeamua kukuletea  nyimbo zaidi ya 100 za ...

Classic Visual Shinyanga

Habari Gumzo Mtandaoni

Mshana Computer Solution

Habari Zilizopita

Jiunge Nasi Hapa

Translate This Blog

Copyright © MALUNDE 1 BLOG | Powered by Malunde