DARAJA LA MTO RUVU LIMEANGUKA

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema daraja la mto Ruvu kwa njia ya reli limeanguka, hivyo kusababisha safari za treni toka Dar es salaam - Morogoro  kutokuwepo.
Tutawaletea habari kamili hivi punde...
Theme images by rion819. Powered by Blogger.