AFARIKI BAADA YA KULALIWA NA TEMBO

Bwana Botha an umri wa miaka 51 na baba wa watoto watano kutoka mkoa wa Limpopo nchini Afrika Kusini.

Mtaalamu mmoja wa uwindaji amefariki baada ya kulaliwa na ndovu/tembo ambaye alikuwa amepigwa risasi

Mtandao wa anaripotiwa kupigwa risasi wakati alimuinua Theunis Botha akitumia pembe yake kabla ya kuanguka na kufariki huku akimlalia na kumuaa bwana Botha.

Amekuwa akiongoza kundi la wawindaji karibu na mbuga ya Hwange nchini Zimbabwe wakati alifariki.

Mbuga hiyi ndiko simbna Cecil aliuwawa na muwindaji mmarekani mwezi Julai mwaka 2015 na kuzua shutuma kote duniani.Mtandao wa Botha unasema kuwa alikuwa na ujuzi wa kuwinda Simba na Chui.

Bwana Botha an umri wa miaka 51 na baba wa watoto watano kutoka mkoa wa Limpopo nchini Afrika Kusini.

Mtandao wa Botha unasema kuwa alikuwa na ujuzi wa kuwinda Simba na Chui.Vyombo vya habari nchini Afrika Kusini vilisema kuwa bwana Botha alikuwa rafiki wa muwindaji mwingine Van Zyl, ambaye mabaki yake yalipatikana ndani ya mamba mwezi uliopita.
Chanzo-BBC

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527