Tazama Video ya Walevi : MSANII MEZA - WALWA...BALAAA MTUPUKama kawaida ya Malunde1 blog kukuweka karibu na wasanii wa nyimbo za asili.Leo ninayo ngoma mpya kali ya asili kutoka kwa msanii wa Nyimbo za asili Meza kutoka Ilola Shinyanga vijijini inaitwa 'Walwa' (pombe).


Wimbo huu ni maalumu kwa walevi,umetengenezwa katika studio za Passmedia zilizopo mjini Kahama mkoani Shinyanga.


Tazama ngoma hii ya walevi hapa chini..ni balaa sana
Theme images by rion819. Powered by Blogger.