Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAZIRI MKUU AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MIILI 16 YA WATU WALIOFARIKI KWA TETEMEKO LA ARDHI BUKOBA




Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Jumapili,Septemba 11,2016 amewaongoza waombolezaji kuaga miili ya watu 16 waliopoteza maisha kwenye tetemeko la ardhi lililotokea jana Septemba 10 mkoani Kagera.


Zoezi hilo la kuaga miili limefanyika katika Uwanja wa Kaitaba uliopo Bukoba Mjini mkoani Kagera.

Mpaka sasa jumla ya watu 16 wamefariki dunia na zaidi ya 250 wakijeruhiwa.

SOMA ZAIDI HAPA>> WALIOKUFA TETEMEKO LA ARDHI KAGERA SASA NI 16,MAJERUHI 253 ,NYUMBA 840 ZIMEANGUKA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com