Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

ABIRIA ZAIDI YA 480 WANUSURIKA KUFA BAHARINI LEO HUKO ZANZIBAR

Abiria zadi ya 480 wamenusirika na ajali ya Baharini katika mkondo wa Nungwi baada ya meli waliyokuwa wakisafiria kwenda pemba ya MV Maendeleo kuharibika ikiwa Baharini na kulazimika kurudi Bandarini Zanzibar.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com