ANGALIA PICHA ENEO LA MKUTANO WA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA HUKO ARUSHA!!
Friday, May 29, 2015
Muonekano wa
viwanja vya Sheikh Amri Abeid Arusha, maandalizi yakiendelea ambapo kesho Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa,
atakapoongea na watanzania juu ya kutangaza nia yake ya kugombea kiti ha urais mwaka huu.
Kesho Jumamosi tarehe 30/05/2015, Waziri mkuu wa zamani
na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa atazungumza na watanzania kwenye
viwanja vya Sheikh Amri Abeid Arusha kuanzia saa nane mchana.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin