![]() |
| NB-Picha haihusiani na habari hapa chini |
Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga Longinus
Tibishubwamu amesema tukio hilo limetokea Januari 29,2014 saa 10 jioni katika
kitongoji cha Mpela A maeneo ya viwandani kata ya Ibadakuli katika manispaa ya
Shinyanga.
Amesema mtoto huyo baada ya kuzidiwa na uzito wa ndoo hiyo ya maji aliteleza na kutumbukia kisimani na kupoteza maisha yake.
Na Kadama Malunde-Shinyanga

Social Plugin