| Hapa ni katika viwanja vya Mahakama ya mwanzo nguzo nane mjini Shinyanga,ambako kumefanyika mkutano wa kwanza kabisa wa Chama kipya cha ACT.Pichani ni Mwenyekiti wa taifa wa chama cha ACT -Tanzania Kadawi Limbu akigawa kadi kwa wakazi wa Shinyanga TUKIO ZIMA LA MKUTANO WA ACT-TANZANIA MJINI SHINYANGA LIKO HAPA TAFADHALI BOFYA HAPA U LIKE PAGE YETU TUKUTUMIE "HABARI" MOJA KWA MOJA KILA ZINAPOTOKEA |
Social Plugin