Inatisha!!! JAMAA AKUTWA AMEJINYONGA BAFUNI,KAMA NI MUOGA USIANGALIE PICHA ZINATISHA,TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZO
Thursday, January 30, 2014
Matukio
ya kutisha yamezidi kuchukua sura mpya nchini Brazil baada ya mtu mmoja
asiyefahamika kukutwa akiwa amekufa katika mazingira ya kutatanisha
baada ya mwili wake kukutwa akiwa amenyongwa bafuni.Mtu huyo inasemekana
amekaa kwa muda mrefu akiwa amefariki bila majirani zake pamoja na
ndugu zake kujua kuwa amekufa kwani mwili wake ulikutwa umeharibika
sana.
Haijaweza kufahamika mara moja kuwa aidha mtu huyo alinyongwa au yeye mwenyewe aliamua kujinyonga akiwa anaoga bafuni.
Wataalam
wa jeshi la polisi walieleza kuwa wanashuku kuwa huenda mtu huyo
alinyongwa kwa sababu si hali ya kawaida mtu kujinyonga akiwa anaoga
huku amevua nguo,ushahidi wa kimazingira unaonyesha kuwa mtu huyo
alikuja kudhuriwa na watu wasiofahamika wakati alipokuwa akioga bafuni
kwake.
Nao majirani wa marehemu huyo walisema kuwa hawakuwahi
kuona wala kuhisi uwepo wa jirani yao huyo mpaka baada ya muda mrefu
kusikia harufu kali ikitoka nyumbani kwa mtu huyo,ndipo walipoamua kutoa
taarifa kituo cha polisi kilichopo karibu yao ili hatua zaidi za
kisheria zichukuliwe ndipo polisi walipowasili kwenye nyumba hiyo na
kumkuta mtu huyo akiwa ameoza kabisa mwili mzima. Credit- mamboyawalimwengu.com
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin