![]() |
| Jengo la hospitali ya wilaya ya shinyanga vijijini ambalo hivi karibuni litaanza kutumika katika kutoa huduma za afya kwa wananchi |
![]() |
| Ofisi ya Chama Cha Maendeleo CHADEMA katika Kata ya Iselamagazi wilaya ya Shinyanga Vijijini |
![]() |
| Wananchi wa kijiji cha Sayu kata ya Pandagichiza wakimsikiliza mwenyekiti wa CCM mkoa wa shinyanga katika eneo la mradi wa maji ya ziwa victoria ambao utanufaisha vitongoji vitano vya kijiji hicho |
![]() |
| Mwenyekiti wa CCM mkoa wa shinyanga akitoa kadi kwa mwanachama mpya wa ccm mmoja kati wanachama wapya zaidi ya 200 waliojiunga na chama hicho katika kata ya Pandagichiza jimbo la solwa |





Social Plugin