
Victory Senge enzi za uhai wake
Afisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Shinyanga, Victory Senge, ambaye pia alikuwa mmiliki wa maduka ya nguo ya Victorious yaliyopo Ngokolo Mjini Shinyanga, amefariki dunia leo Jumamosi, Mei 2, 2026 katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza.Taarifa zaidi tutakuletea baadaye.
R.I.P Vicky



Social Plugin