Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TUME YA JAJI CHANDE NI DARAJA LA KUTUTOA OKTOBA 29



Rais Mstaafu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS Dkt.Edward Hossea amesema Tume ya Jaji Chande ni daraja la kuiotoa Tanzania kutoka kwenye matatizo ya Oktoba 29 ambayo yalisababisha kugawanyika kwa taifa

Dkt Hosea amesema hayo Mkoani Iringa hii leo wakati akizungumza na wanahabari na kueleza kuwa Daraja hilo litavukwa Salama baada ya ripoti ya tume hiyo kuwekwa wazi kwa wananchi. 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com