Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MUME ARUDI KUTOKA GULF BILA TAARIFA, AMKUTA MKEWE NA BEST FRIEND WAKE KITANDANI SAA TISA ALFAJIRI


Kulizuka drama nzito katika mtaa mmoja wa Kayole jijini Nairobi baada ya mwanaume aliyekuwa akifanya kazi katika nchi za Gulf kurejea nchini bila kumpa taarifa mkewe, kisha kumkuta ndani ya nyumba yao akiwa na rafiki yake wa karibu kitandani saa tisa alfajiri. 

Tukio hilo lililowashtua majirani limeacha maswali mengi kuhusu uaminifu, urafiki na ndoa za masafa marefu.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com