Je, unatafuta shule itakayomjengea mwanao msingi imara wa kitaaluma na maadili? BECO Pre & Primary School iliyopo Shinyanga Mjini inakukaribisha!
📚 TUNAPOKEA WANAFUNZI WA:
* Chekechea (Nursery)
* Darasa la Kwanza
* Nafasi za kuhamia madarasa mengine pia zipo.
🎯 KWA NINI UCHAGUE BECO?
Sisi ni mabingwa wa kutoa elimu bora, tukiwa na rekodi ya kipekee:
🏆 Matokeo Bora ya Kitaifa: Tumefaulu kwa Daraja A kwa wanafunzi wote kwa miaka minne mfululizo (2022, 2023, 2024 na 2025).
👩🏫 Walimu Mahiri: Mazingira rafiki na walimu wenye upendo na weledi.
🚌 Usafiri wa Uhakika: Gari la shule linafika maeneo mengi kwa usalama.
💰 Ada Nafuu: Elimu bora kwa gharama inayostahimilika, ikiwa na mfumo mzuri wa malipo.
🙏 Maadili: Tunazingatia mafunzo ya kiroho na maadili mema kwa dini zote.
📍 Tupo Shinyanga Mjini, mkabala na Barabara ya Old Shinyanga
📞 WASILIANA NASI:
📲 0763 157 400 | 0624 293 323
🌐 Tembelea: Bonyeza hapa kupata maelezo zaidi
🌟 BECO – The Home of Bright Children! 🌟

Social Plugin