Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Shinyanga limeadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kuwaunganishia huduma ya umeme wateja wake walioomba huduma ya umeme kupitia mfumo wa NI-KONEKT.

TANESCO Shinyanga imetoa huduma hiyo Oktoba 5,2022 katika maeneo ya Ibadakuli,Kizumbi, Ngokolo katika Manispaa ya Shinyanga.