Mwimbaji wa nyimbo za injili Eunice Malende kutoka jijini Dar es salaam anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa 'Kusudi'. Sikiliza hapa chini,hakika utabarikiwa sana