Wimbo mpya : NYANDA NG'HUNGULUME - UZUSHI KIFO NG'WANA KANG'WA

TANGAZA BIASHARA,HABARI,KAZI,MATUKIO YAKO KUPITIA MALUNDE 1 BLOG,TUPIGIE SIMU 0757 478 553 AU 0625 918 527


Msanii Nyanda Ng'hungulume ameachia wimbo maalumu kukanusha uzushi unaonezwa na baadhi ya watu kuwa msanii wa nyimbo za asili Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama mkoani kuwa amefariki kwa kuchomwa kisu.
Sikiliza wimbo huu hapa chini
Theme images by rion819. Powered by Blogger.