Kutoka mkoani Simiyu ninayo hapa ngoma mpya ya Msanii Kisima 'Nyanda Majabala',wimbo unaitwa Janeth. Video hii inapatikana katika Albam yake mpya mwaka 2018 aliyoipa jina la Maisha. Video imetengenezwa katika Studio za Makula