HII HAPA RATIBA YA ROBO FAINALI EUROPA LEAGUE

Baada ya shirikisho la soka Ulaya UEFA kuchezesha droo ya UEFA Champions League hatua ya robo fainali, baada ya hapo wamechezesha pia droo ya robo fainali ya UEFA Europa League.


Baada ya droo hiyo kuchezeshwa Arsenal ambao waliwatoa AC Milan katika hatua ya 16 bora, wamepangwa na CSKA Moskva ya Urusi katika robo fainali Arsenal akianzia nyumbani.

Mechi za kwanza za Robo fainali zitachezwa April 5 na Marudiano itakuwa April 12 mwaka huu

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527