DAKIKA 3 ZA SHOW YA MAMA USHAURI KISHAPU SHINYANGA KWENYE SHEREHE ZA CCM

TANGAZA BIASHARA,HABARI,KAZI,MATUKIO YAKO KUPITIA MALUNDE 1 BLOG,TUPIGIE SIMU 0757 478 553 AU 0625 918 527

Leo nakusogezea show ya Msanii wa nyimbo za asili Mama Ushauri alipoalikwa kutumbuiza katika sherehe za maadhimisho ya miaka 41 ya Chama Cha Mapinduzi Februari 4,2018 Kishapu mkoani Shinyanga..Nimekuwekea dakika 3 tu ..Burudika hapa chini
Theme images by rion819. Powered by Blogger.