Video Mpya : SHIMBA YA MNZENGO- MUNJIBHA ...NGOMA KALI MAAJABU ZIWANI,WANENGUAJI BALAA

Kama kawaida ya Malunde1 blog kukusogeza karibu na wasanii wa Nyimbo za asili...Nakualika kutazama video ya msanii Shimba ya Mnzengo inaitwa Munjibha,ngoma kali inahusu maajabu ya Ziwani imetengenezwa katika studio ya Asili Yetu Africa..Itazame hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527