WATEJA WA TIGO MJINI MOROGORO WAJISHINDIA TIKETI ZA KWENDA KUSHUHUDIA TAMASHA LA TIGO FIESTA


Wasanii Roma(kulia) na Zaiid wakimkabidhi mteja wa Tigo, Francis Wamonje(katikati)zawadi ya tiketi ya kwenda kishuhudia Tamasha la Tigo Fiesta litakalofanyika leo mjini Morogoro.
Mteja wa Tigo mjini Morogoro, Idrissa Bakari (katikati) aliyejishindia tiketi ya kwenda kushuhudia Tamasha la Tigo Fiesta uwanja wa Jamhuri leo, akipokea tiketi yake toka kwa Wasanii, toka kushoto Barnaba,Mimi Mars, Maua Sama na Country Boy.
Msanii Barnaba akipiga picha 'selfie' na mfanyakazi wa duka la Tigo lililopo mtaa wa Stand Morogoro leo. 
Msanii Mimi Mars akiteta jambo na mfanyakazi wa duka la Tigo mtaa wa Stand Morogoro mara baada ya Wasanii kutembelea duka hilo. 
Mteja wa Tigo mkoani Morogoro, Violet Mongi (wa pili kushoto) akikabidhiwa zawadi na Wasanii Vee Money, Genevieve na GNako mara baada ya mteja kupata huduma ndani ya duka hilo. 
Mtoa huduma wa duka la Tigo Morogoro mjini, Dorcas James akitoa huduma kwa wateja. 
Mtoa huduma wa duka la Tigo Morogoro mjini, Theodore John akitoa huduma kwa wateja waliofurika kwenye duka hilo leo kupata huduma mbalimbali za bidhaa zitolewazo ndani ya msimu huu wa Tigo Fiesta kwa bei nafuu. 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527