KUTANA NA HOTELI HII ILIYOJENGWA JUU YA MTI MKOANI MARA...TUMEKUWEKEA PICHA NA VIDEO


Hoteli iliyojengwa juu ya mti Urefu wa futi 19 kutoka chini hadi juu na kijana aitwaye Michael Andrew maarufu Matiko mkazi wa mtaa wa Nyamihutwa kata  ya Ronsoti Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani Mara hotel hiyo inaweza  kubeba watu 30 kwa wakati mmoja.


Kijana huyo anasema ameamua kufanya ujasiriamali wa kujenga hoteli hiyo kwa ajili ya kujikomboa kiuchumi lakini pia kuifanya sehemu hiyo kuwa kivutio cha utalii wa ndani.
Ukiwa juu ya hoteli hiyo 
Muonekano wa hoteli hiyo juu ya mti



viti vya asili vikiwa katika hoteli hiyo..tazama picha zaidi<<HAPA>>.

ANGALIA VIDEO HAPA CHINI

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527