SAMSON MWIGAMBA AJITUMBUA ACT WAZALENDO

Mwenyekiti wa Kamati ya Kampeni na Uchaguzi Taifa ya Chama Cha ACT Wazalendo Samson Mwigamba ameng'atuka nafasi yake hiyo katika chama hicho na kubaki mwananchama wa kawaida kwa madai ya kuwa ameona kuna mambo ndani ya chama hicho hayaendi sawa.


Mwigamba amedai kuwa amejitahidi sana kuongea na viongozi wakuu wa chama hicho kuhusu mambo mbalimbali lakini ameona yamekuwa hayatendeki wala kufanyiwa kazi hivyo ameamua kufanya maamuzi hayo ili kuto pingana nao bali ameamua kubaki kama wanachama wa kawaidia ili aweze kupata nafasi ya kuhoji baadhi ya mambo ndani ya chama. 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments