QNET KUONGEZA MAUZO YA MOJA KWA MOJA NA KUUNDA FURSA ZA UJASIRIAMALI TANZANIA


Kutoka kushoto, Mshauri wa bodi ya QNET David Sharma, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Hamisi Kigwangalla, Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dk. Adelhem Meru na meneja mkuu wa QNET-Tanzania Benjamin Mariki wakikata utepe wakati wa ufunguzi wa ofisi ya shirika hilo nchini jana. 
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Hamisi Kigwangalla, Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dk. Adelhem Meru Mshauri wa bodi ya QNET David Sharma, meneja mkuu wa QNET-Tanzania Benjamin Mariki wakisoma gazeti lenye biddhaa za kampuni hiyo mara baada ya wa ofisi ya shirika hilo nchini. 
Mshauri wa bodi ya QNET David Sharma, akifafanua jambo mara baada ya ufunguzi wa ofisi za shirika hilo mapema jana 
Baadhi ya wafanyakazi wa Qnet wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa ofisi hiyo

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527