MSHINDI WA TIGO FIESTA SUPA NYOTA 2017 APATIKANA JIJINI MWANZA


Mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 toka Mwanza, Fatuma Msafiri akiimba wakati wa kumtafuta mkali wa kipaji cha kuimba jijini Mwanza 
Msanii Chipukizi Lusinde Michael a.k.a Real Da Best akionesha umahiri wake wa kufoka foka kwenye mchuano wa kusaka kipaji cha Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 jijini Mwanza
Top 2 wakisubiri kutajwa kwa mshindi kati yao. 
Majaji wakijadiliana jambo.
Wasanii walioingia Top 4 wakisubiri mchujo wa kuingia top 2. 

Mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 kutoka Mwanza akibubujikwa na machozi ya furaha mara baada ya kutangazwa kushinda shindano la kusaka vipaji vya kuimba Supa Nyota msimu huu wa Tigo Fiesta 2017, Pembeni mshindi wa pili Lusinde Michael a.k.a Real Da Best. 
Sehemu ya umati uliojitokeza kushiriki Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 jijini Mwanza. 
Majaji wakiongozwa na Nickson wakiwa kwenye picha ya pamoja na mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 toka Mwanza Fatuma Msafiri.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527