Video : MRITHI WA NYANDA MADIRISHA 'NCHAINA' - NALISOSOMEJE
Sunday, November 26, 2017
Kama kawaida ya Malunde1 blog kukusogeza karibu kabisa na wasanii wa nyimbo za asili,leo tunakukutanisha na Nchaina kutoka Kahama mkoani Shinyanga ametuletea ngoma yake mpya inaitwa Nalisosomeje iliyoongozwa na Manwell wa studio za Hardtone zilizopo Kahama.
Msanii Nchaina ndiye alirithi kazi ya kaka yake Msanii Nyanda Madirisha ambaye alifariki mwezi Agosti,2016 akijiandaa kufanya show.
Tazama ngoma hii kali ya Kisukuma
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin