TAZAMA VIDEO MPYA YA MRITHI WA NYANDA MADIRISHA "NCHAINA " - RAMBI RAMBI



Ninayo hapa video mpya ya msanii wa nyimbo za asili Nchaina kutoka Kahama ambaye mwaka jana 2016 alirithi mikoba ya kaka yake Nyanda Madirisha baada ya kufariki dunia akijiandaa kufanya show mkoani Simiyu. Msanii Nchaina ametualika kutazama ngoma yake mpya inaitwa Rambi rambi,ni ngoma kali imeongozwa na Manwell kutoka Hardtone Studios za mjini Kahama

TAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527