Video: MAMA SALMA KIKWETE AKIULIZA SWALI BUNGENI KWA MARA YA KWANZA LEO


Baada ya kuapishwa, Mbunge Salma Kikwete ameuliza swali kwa mara ya kwanza na kulielekeza OR-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Mkutano wa saba wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza leo Dodoma. Leo asubuhi kabla ya kuanza kwa kipindi cha maswali na majibu mbunge wa kuteuliwa Mama Salma Kikwete aliapishwa.

Tazama video hapa

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527