Mpyaa: SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO WA ASILI KUTOKA KWA MASUMBUKO ELIAS- Unaitwa UKIMWI

Msanii wa nyimbo za asili anayekuja kwa kasi ya ajabu katika tasnia ya nyimbo za asili Masumbuko Elias kutoka Bhoshola mkoani Shinyanga anayeimba kwa lugha ya Kisukuma ameachia wimbo mpya unaitwa Ukimwi..Wimbo huu mzuri uliobeba ujumbe mzito umetengenezwa katika studio za Tivol jijini Mwanza.Masumbuko anasema yupo kwenye maandalizi ya kuachia video ya ngoma hii

Sikiliza na download wimbo huu mzuri hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527