Kituo cha TV cha Azam TV kimeripoti kwamba Septemba 3, 2016 Rais Magufuli akiwa kwenye ziara yake visiwani Zanzibar ametoa hotuba ambapo amemshauri Rais wa Zanzibar kuwa mkali zaidi huku akizungumia tukio la Katibu mkuu wa CUF Maalim Seif kukataa mkono wa Rais Shein wakati akimsalimia.
"Kama mtu anaukataa mkono wako na wewe kataa mkono wako kufanya mambo yake, ajifunze ajue mkono wako una thamani, haiwezekani mbele ya watu unashike mkono anakataa halafu unatoka ofisini unasema unasaini hapa hela ya huyu kwenda kutibiwa",Magufuli
Tazama video hapa chini
Social Plugin