Video ya asili : SOJI - ICHOLA

Ni weekend nyingine tena Malunde1 blog inakusogezea nyimbo za asili,leo tunakukutanisha na Msanii Soji kutoka Tinde wilaya ya Shinyanga mkoani Shinyanga,wimbo unaitwa Ichola.Ameimbwa kwa lugha ya Kisukuma,ni video iliyobeba ujumbe mzuri,lakini pia wanenguaji wake wameonesha vipaji vyao vya kucheza.
Bonyeza Play hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527