Video: ELIAS MNYAMWEZI - HISTORIA....KALI BALAA
Msanii wa Nyimbo za asili anayeimba kwa lugha ya Kisukuma Eliasi Mnyamwezi ametualika kutazama video yake inaitwa Historia.Ni wimbo mzuri sana hakika utaupenda,ametumia mtindo wa Makhirikhiri wa Botswana
Bonyeza Play hapa chini kuangalia video hii

SHARE THIS
Malunde1 blog Ipo Play Store…Pakua Malunde App HAPA ,Tuwe Tunakutumia Habari Kwenye Simu Yako
 Bofya Hapa

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Powered by Blogger.